Safari za Maua Zakatisha Ndoto ya Ommy Dimpoz ya Kufanya nae Nyimbo Yake Mpya

Mwanamuziki Ommy Dimpoz amefunguka na kusema kuwa  wimbo wake mpya wa yanje aliofanya na sayi shey halikuwa anataani sana kuufanya akiwa na maua sama lakini kutokana na majukumu ya maua sama ilimfanya ahsindwe kufanya nae wimbo huu.

Akiongea katika kipindi cha xxl, Ommy Dimpoz anasema alimtafuta sana maua sama lakini alikuwa nje ya mkoa hivyo alipopata deal la kufanya na Sayi Shey ndipo alipoamua kumtumia beat la wimbo huo na kuweza kufanya nae ngoma.

download latest music    

Kimekuwa kimya na muda mrefu kidogo kwa ommy dimpoz tangu alipotoa ngoma yake kwa mara ya mwisho lakini ngoma hiyo mpya inaonekana kupokelewa vizuri na mashabiki zake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.