Shabiki Amzungumzia Diamond, Asema ni Mkarimu Sana.

Shabiki mmoja jijini Dar Es Salaam ambae jina lake hakupenda liweke wazi amefunguka kwa waandshi wa habari na kusema jinis ambavyo amekuwa akimchukulia Diamond kwa muda mrefu na vile watu wanavyomsema na jinis alivyokutana nae na kumuona jinsi alivyo.

Shabiki huyo anasema kuwa diamond sio kama watu wanavyomdhania kwa sababu ni mkarimu na pia ni mnyenyekevu sana, akisimulia kwa waandishi shabiki huyo anasema

download latest music    

mimi ni shabiki yake sana ingawa mara nyingi nimekuwa nikivutiwa na Dully sykes, nilimuona Diamond mwezi huu mwanzoni, nikaita simbaaa lakini hakuitika , nikaita tena lakini hakuniona  lakini baunsa wake alioniona hivyo hakuamgusa na kumuonyesha , akappunga mkono na kisha kuuzungusha yaani kwamba atarudi tena.

hata hivyo nilijua haka kajamaa kanapenda sana kiki hakawezi kurudi acha niendelee na yangu , basi baada ya dakika 10 akarudi na akaja kunisalimia, alinipa elfu kumi na  na alikuwa mstaarabu sanaa.akaa kwenye bao gumu pembeni yangu , akanishukuru kwa sapoati, nimeamini kuwa huyu jamaa sio mchawi ila ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu ambayo yeye na mama yake waliwahi kuyaptia.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.