Shekhe Kipozeo Amjibu Alikiba Kuhusu Ku-post Picha za Marehemu.

Kiongozi wa dini, maarufu nchini Shekhe Kipozeo , amefunguka na kumjibu alikiba aliyewahi kuwajibu mashabiki wake kuwa  kwa upande wake  hawezi kupost picha ya marehemu katika ukurasa wake wa kwa sababu dini yake hairuhusu kupost picha ya mtu aliyekiwsha fariki.

Shekhe Kipozeo akiwa kama kiongozi wa dini alifungua na kusema kuwa hakuna dhambi yoyote kupost picha ya mtu aliyekwisha fariki lakini  kitu kischotakiwa ni kuweka mabaya yale hadharani kwa sababu huyo mtu hatunae tena.

download latest music    

Kupost picha ya marehemu hakuna ubaya   wowote,ila tu unatakiwa kutoyataja mabaya yake tu.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.