Sifanyi Kazi na Alikiba kwa Sasa:-Ommy Dimpoz Afunguka.

Mwanamuziki Ommy Dimpoz amefunguka na kuema kuwa hana mpango wakufanya kazi na Alikiba kwa saa licha ya kwamba wawili ho wamekuwa wakifanya kazi chini ya menejiment moja kwa muda mrefu aa lakini hakuna haja ya kuwa wanafanya kazi wote kila siku kwa sababu amshabiki wanataka vitu vipya.

Ommy dimpoz ambae anatamba sasa  na wimbo wa Yanje aliomshirikisha mwanamuziki wa kiek kutoka Nigeria amefunguka na kusema hayo alipokuwa  akipiga stori na EATV na kusema kuwa inawezekana angefanya wimbo na alikiba hivi karibuni isingeweza kupendwa sana na mashabiki kama amabvyo ametoa wimbo wake na msanii huyo wa kike.

download latest music    

Hata hivyo Ommy anasema kuwa aliamua kufanya kazi na msanii mwingine ili kuleta utofauti kwa mashabiki wake na kwamba wasijali kuhusu yeye kufanya kazi na alikiba kwa ababu zipo kazi za rockstar nyingi zinakuja wakiwa wamefanya kazi pamoja.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.