Sikutaka Mwanaume wa Kunilamba Lips :-Shiloleh
Mwanadada shiloleh amefunguka na kusema kuwa ndoa yake inaendelea vizuri na hata hakuna anayemaini kuwa ndoa ile iliyosemwa sana ingeweza kutulia na kufikia hatu ailiyofikia sasa hivi kama wengi walivyokuwa wakidhani.
Shiloleh anasema kuwa alipoanza mapenzi alikuwa akikuta na wanaume tofauti tofauti ambao hawakuwa wamefikia kiwango alichokuwa akikitaka yeye cha kutokubembelezwa kama walivyokuwa wakifanya lakini alipokuata na Uchebe aliona kuwa uyo ndio mwanaume aliyekuwa akimtaka.
Shiloleh anasema kuwa alikuwa akitafuta mwanaume ambae akikosea anweza kumpa za uso na akamrekebisha na sio kumbembeleza au kumuogopa tu bila kuwa na ukali ndani yake na ndio maana tangu amefunga ndoa watu wamekuwa wakishangaa sana mafanikio yake.
sikutaka mwanaume wa kunilamba lips, nilitaka mwanaume ambae nikizingua nakula za uso na anayesimama kama mwanaume na watu waliongea mengi sana kwanini uchebe na sio mwanaume mwingine lakini kwa sasa wanashangaa mafanikio yangu.