Simchukiii Hamisa ila Nampenda Sana Wema. :-Diana Kmary

Mwanadada Diana Kimary amefunguka na kusema kuwa anapinga vikali maneno yanayosemwa katika mitandao kuwa yeye hana bifu na Hamisa Mobeto kwa sababu tu yuko karibu  na Wema ambae kwa sasa amekuwa kama  adui wa Hamisa kutokana na figisu za hapa na pale.

Diana anasema kuwa watu wanaofikiria hivyo wanapaswa kujua kuwa kila kitu anachoweka aktika itandao ya kijamii hakina lengo la kumlenga mtu yoyote kama wanavyosema kuwa vitu hivyo vinamlenga Hamisa.

download latest music    

Simchukii wala sina bifu na Hamisa kama watu wanavyotengeneza katika mitandao ya kijamii,bali wakiona kuwa nina muweka wema wajue tu kuwa nina mapenzi kama yote, na hata kama ninaandika ujumbe sio kwamba nina msema mtu.

Mwanadada huyo ambae mpaka amechora tatoo ya jina la Wema katika paja lake kuonyesha kuwa ni jinsi gani amekuwa na mapenzi na Wema Sepetu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.