Sina Juhudi Yoyote ya Kujifunza Kingereza:-Alikiba

Msanii wa bong Fleva nchini Alikiba amesema kuwa hana moyo wa kuamua kuingia darasani na kujifunza kingereza kama wengine wanavyofanya kwa sababu hakijampunguzia kitu mpaka sasa.

Alikiba anasema kuwa kama kingereza hakimuingizia kitu katika maisha yake ya kawaida na hata katika kazi zake na hakijawahi kumfanya akose kitu kuna haja gani ya kujifunza kingereza wakati anaona yeye yuko kawaida tu.

download latest music    

Wasanii wengi wamekuwa wakiangaika sana ktika maohjiano mbalimbali kwa sababu ya kutokjua kingereza na hata msanii kubwa Diamond alifanya jitihada za kujifunza Lugha hiyo mapema na sasa amekuwa mtaalamu wa kuongea lugha hiyo.

Sina juhudi yoyote ya kujifunza kingereza kwasababu hakiniingizi chochote, ninaimba kiswahili na nina pata mpunga na maisha yangu yanaenda, kingereza naongea kiujanja ujnaja tu na sina mpango wa kujifunza kwa sababu hakiniingizii kitu.-Alisema Alikiba

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.