Sina Presha Kabisa na Muziki, Sipo Kimashindano.:-Hawa

Mwanadada Hawa ambae hivi karibuni alitoa moja ya nyimbo zake zikionyesha mapito yake mpka akuachana na muziki na kuharibikiwa kabisa kutokana na ugumu wa maisha mpaka kuwa teja anasema kuwa kwa sasa anajipnaga na anatarajia kufanya vizuri katika muziki wake.

Hawa ambae aliwahi kuimba wimbo wa nitarejea na Diamond anasema kuwa kwake kwa sasa hana papara na muziki na wala hana cha kushindania kwa sababu yeye anaamini kuwa ana kipaji cha kufanya muziki na anaamini akisimama atakuwa vizuri.

download latest music    

Mimi sina presha na muziki hata kidogo, na sipo katika muziki kimashindano hata siku moja kwa sababu ninaamini kuwa mimi nina kipaji ila tu ninaweka mambo sawa na kila kitu kitarudi:-Aliongea Hawa alipokuwa akifanya mahojiano na Clouds E

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.