Sio Kitu Rahisi Kuwa na Mimi :-Posh

Mwanadad anaejulikana sana katika Mitandao ya kijamii hasa kutokana nakuwa na shepu kubwa  Jacquline Obedi  amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba amekuwa na umbo la kuvutia kwa kila mwanaume lakini hiyo haimaanishi kuwa  inaweza kuwa rahisi kupatwa na mwanaume yoyote .

Posh anasema kuwa yeye hana zile tabia za wadada wa mjini za kudanga na mara zote amekuwa akijihudumia yeye mwenyewe hivyo wala hawezi kujirahisisha kama watu wanavyomuona.

download latest music    

sio kitu rahisi kuwa na mimi ilo unayakiwa ujue, sio mtu ambae ninaweza kuchukuwa vitu vyako kirahisi tu ukahisi  hivyo tu ila kama mwanaume wangu anatakiwa kuwajibika tu na kuwana akili timamu,.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.