Sister Fay Aamua Kumuanika Mpenzi Wake

Mwanadada Sister Fay ameamua kumuanika mpenzi wake mpya hadharani huku watu wengi wakimsema kutokana na mwanaume huyo kuwa mdogo kiumri kwake,Sister Fay amabe yeye mwenyewe haonekani kuwa na wasiwasi na swala la kumuweka mpenzi wake huyo hadharani anasema kwake ni kawaida sana.

Katika ukurasa wa mwanaume huyo pia aliamua kuweka wazi mahusinao yake na mwanadada huyo huku akisema kuwa mevumilia kuweka siri kwa muda mrefu na ameshindwa kuendelea kuficha siri hiyo.

download latest music    

Mwanaume huyo ambae inasemekana kuwa pia ni msanii ameweka picha katika ukurasa wake wa instagram na kuweka caption hii;-

Na katika ukurasa wa Sister Fay amekuwa akiweka picha na video mbalimbali za kimahaba na kibeniten hicho.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.