Sister Fey :-Sijui Umri Wake Mimi Ninachojali Ananifurahisha na Yuko Vizuri

Msanii wa bongo music Sister Fey amefunguka na kuelezea situation anazokumbana nazo katika penzi lake jipya na msanii holystar ambae ameanza kumuweka katika mitandao hivi karibuni.

Fey anasema kuwa video na picha ambazo zimekuwa zikisambaa katika mitandao alikuwa amezipost yeye mwenyewe ingawa mpenzi wake huyo alikuwa hataki kupost video na picha hzio lakini yeye ndie aliamua kufanya hivyo aada ya kutukanwa na dada wa mpezi wake huyo.

download latest music    

Fey anasema kuwa watu  na ndugu wa mwanaum huyo wamkeuwa wakimtukana kuwa  anatembea na ndugu yao mwenye umri mdogo lakini vha ajabu yeye hata umri wa mwanaume wake haujui anachojali ni raha anazopata tu.

kwanza kuhusu ile video mimi ndio nilikuwa nimmwambia kuwa dada ake amenitukana lakini akaniambai niache nisiseme kitu,niliipost mwenyewe maana yeye hata alikuwa hajapenda mimi nipost.dada ake alinitukana kutokana na mambo ya watu ya kiswaili swahili.

dadaake anasema kuwa mdogo wake mdogo lakini mimi hata miaka yake sitaki kujijua na sioni udogo wake ana udogo gani sasa wakati mimi ananifurahsiha na yuko vizuri, hata sijui nimepisha nae miaka mingapi wala sijui ana umri gani.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.