Siwezi Kupata Taarifa za Mtoto Wangu Kupitia Instagram:-Casto

Baada ya kutukanwa na kutupiwa maneno mengi katika mitandao kuhusu kutokuwa akijali kuhusu hali ya mtoto wake ambae yuko hospitali kwa sasa na kwamba hali yake imekuwa mbaya na yeye yuko busy na mahaba mapya na mpezni wak tunda, Casto Dickson amefunguka na kuongea mazito.

Akiongea na moja ya waandishi wa habari wa Clouds Tv, Casto anasema kuwa  kumekuwa na maneno tofauti tofauti kuhusu hali ya mtoto wake huku kukiwa hakuna mtu yoyote wa karibu na mtoto anaetaka kumwambia taarifa za kueleweka kuhusu mtoto huyo.

download latest music    

kwanza kabisa ilizuka kuwa mtoto kafa lakini nikawapigia simu hadi kwa bibi yake nikawaambia kuwa niambie ukweli kuhus hali ya mtoto wake, sio kwamba napenda  i dont know ingawa najua kabisa mtoto wangu anaumwa.mi siweizi kupata taarifa za mtoto wangu kupitia instagram.Ninamuombea sana mtoto wangu Mungu ampe nafasi ya  pekee maana najua umri wake mdogo sana miaka saba  lakini anapitia situations nyingi sana,

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.