Soudy Brown na Maua Sama Bado Hali ni Tete.

Jumatatu ya leo watu wengi waikuwa wamekaa kwa hamu kujua hatma ya wapendwa wao maua sana na soudy brown kutokana na mahakama kusema kuwa kesi za watu hao zingeweza kusikilizwa leo jumatatu ya septemba 24.

Hata hivyo, Maua Sama hajapandishwa kizimbani kabisa huku Soudy Brown akipandishwa kizimbani na kusomewa mashataka ya kutuma video katika mtandao bila kuwa na kibali na hata dhamana ya kosa hili iko wazi lakini soudy ameshindwa kupewa dhamana kwa sababu kosa la pili linamfunga  Soudy Brown kupata dhamana.

download latest music    

Hata hivyo kesi ya pili ya soudy brown inategemewa kusoma October 18 mwaka huu huku maua ksi yake ikiwa hajasomwa kabisa ikisemwa kuwa kesi hiyo inaweza kusikilizwa katikati ya wiki hii.

Soudy na Maua walikamwatwa  wiki iliyopita huku kosa kubwa ikiwa ni kuweka video katika mitandao ya kijamii ikiwa na kosa la kudharirisha pesa ambayo ilonekana ikikanyagwa na mashabiki wao katika wimbo wa Iokote, hata hivyo soudy bado anaonekana akiwa na kesi ya kujibu pia kwa kosa la kuanzisha Youtube channeli bila kibali cha TCRA.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.