Steve Nyerere Amshukuru Faiza Ally kwa Kumtetea.

Msanii wa bongo movies Steve Nyerere aneonyesha kushukuru kwa kitendo alichofanya Faiza Ally kwa kumkingia kifua baada ya watu kadhaa katika mitandao ya kijamii kumsema na kumkosoa kuwa msanii steve nyerere amekuwa akihudhuria katika misiba ya wasanii wenzake huku lengo lake kubwa ikiwa ni kuchukua pesa za mivchango na kuondoka nazo kwa matumizi yake binafsi.

Baada ya kusambaa kwa maneno hayo katika mitandao ya  kijamii wasanii kadhaa walifunguka kuonyesha kusikitishwa kwao na taarifa hzi akiwemo Aunty Ezekiel pamoja na Faiza ally ambae aliwashukia wasanii wenzao kwa kitendo cha kukaa kimya kila wanapoona matuzi kama hayo katika mitandao ya kijamii.

download latest music    

Ktika ukurasa wake wa instagram, steve nyerere alifunguka na kusema ;

Nimeangalia ulichoandika nikagundua uko tofauti na viumbe wengine, yaan wewe ni original na wala haurembi kabisa.asante sana shemeji yangu na tuko pamoja katika matatizo na raha.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.