Tanasha Ajitapa na Gari Jipya.

Mwanadada Tanasha Dona ameonyesha gari lake jipya ambalo limezua gumzo katika itandao ya kijamii huku watu wakisema kuwa gari hiyo mpya ni lazima atakywa amenunuliwa na mwanaume aliyenae sasa hivi ambae ni Diamond Platinumz.

Mwanadada huyo aliyeweka icha ya gari ya blue kwenye ukurasa wake wa instagram aina ya BMW ameandika “miss my beast baby blue ” huku gari hiyo ikionekana kuwa ni mpya kabisa,

download latest music    

Watu hasa mashabiki wa mwanadada huyo na pia msanii Diamond wameongea maneno mengi huku akisema kuwa wawili hao wanaweza kufikia safari yao kutokana na ukweli kuwa wamekuwa wakipendana sana.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.