Tulipokuwa Tunaimba Nyumbani Tulikuwa Tunajiona Kama Destiny Child:-Mimi mars

Mwanadada Mimi mars kutoka katika familia ya Mdee ambao wao karibia wote wasichana wamejiingiza katika maswala ya musiki amefunguka na kusema kuwa katika ukuaji wao walikuwa wakiimba tangu watoto.

Lakini pia Mimi Mars anasema kuwa katika kufanya mazoezi mara nyingi walikuwa wakijifananisha na makundii makubwa yaliyowa kutokea huko nchini marekani ya Destiny Child na Spicy girls.

download latest music    

Kuimba tulikuwa tunapenda kuimba tangu tukiwa watoto na tulikuwa tukijifanya sisi ndo destiny child, spicy girls,lakini always mimi nilikuwa ninapewa ile nafasi ya mwisho ya kuwa mdogo yuke asiyekiki katika lile kundi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.