Ujio Mpya wa Alikiba kwa Mashabiki Zake, Haja na Hela.

Msanii ambae alisumbua na kutia wasiwasi watu wengi amerudi kwa kishindo huko akiwaweka mshabiki zake katika mkao wa kusubiria  baada ya kuweka katika ukurasa wake wa instagram picha ya wimbo wake mpya ambayo inakuja kwa jina la Hela.

Alikiba ambae hapo awali watu walisema kuwa uenda msanii huyo ameamua kufanya mpira na sio muziki tena kutokana na kuonekana akiwa amesajiriwa katika timu ya coastal uniona na kaunza kucheza mechi za ligi zinazoendelea hivi sasa.

download latest music    

Akiandika katika ukurasa wake wa instagram Alikiba aliweka picha  yenye kuonyesha kuwa kuna kitu kipya kinakuja .

Hata hivyo imezoeleka kuwa msanii huyo anapotoa wimbo mmoja utumia muda mwingi sana mpaka kuja kutoa wimbo mwingine , huku kwa kipindi hiki hali  imekuwa tofauti kidogo kutokana na kwamba kwa sasa muda wa kuwasubirisha mashabiki umekuwa mdogo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.