Usher atua Tanzania akisafiri kwa ndege ya kibinafsi (Picha)

Muimbaji wa kimataifa Usher Raymond yuko Tanzania kwa ajili ya mapumziko. Msanii huyo anayetoka Marekani aliingia nchini kimya kimya bila ya wanahabari kujua.

Watu mashuhuru duniani wanazidi tu kuzuru Tanzania kila uchao, sasa muimbaji wa RnB Usher Raymond ametua Tanzania.

download latest music    

Soma pia: Staa wa Tottenham Hotspur Victor Wanyama na mwenzake wa Everton – Morgan Schneiderlin waingia Tanzania 

Usher pamoja na familia yake waliwasili Tanzania wakiwa kwenye ndege ya kibinafsi, staa huyo amekuja Tanzania kutembelea vituo vya kitalii.

Usher aliweka picha mtandaoni akizuru mbuga za wanyama humu nchini. Tazama picha hizo hapo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere