Vannesa Awapigia Magoti Mashabiki

Mwanadada vanesa mdee amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kumpigia kura katika tuzo anazowanua mabapo yeye peeee yake amejikuta akiteuliwa katika vipengele sita tofauti  katika tuzo za hi  pipo music awards nchini uganda,

akiwa kama moja ya wasanii wa kike wakubwa na wanafanya vizuri afrika , Vanesa amekuwa mstari wa mbele kuwakilisha wanawake wengine wasanii tazania kwa kufanya vizuri na kuwa na collabo nyingi sana afrika.

download latest music    

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolea mwezi March 16 mwaka huu , huku msanii huyo akiwa na vipengele vingi vya kuwania na wasanii wengine kutoka nchi mbalimbali.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.