Walichodhamiria BASATA Endapo Wasanii Watafanya Shoo nje Bila Kibali.

Baraza la sanaa tanzania wametoa tammko kuwa endapo msanii atafanya shoo nje ya nchi bila kuwa na kibali kutokwa kwao kwa mara ya kwanza basi atapewa adhabu na kulipa faini ya shilingi milioni moja lakini kama atafanya tena na tena basi inabidi afungiwe kabisa.

Kaimu katibu mkuu wa BASATA onesmo kayanda anasema hayo alipokuwa akiliongelea hilo kuhusu vibali na kanuni mpya za BASATA ambazo zinamtaka msanii kuwa na kibali kila anapokwenda nje kwa ajili ya show.

download latest music    

Mh Kayanda ansema kuwa sheri iko wazi lakini tatizo kubwa la wasanii ni kwamba wamekuwa hawahudhurii katika vikao vya baraza kitu kinachowafanya kuwa wanashangazwa kila wanapooanza kufanya utekelezaji wa sheria hizo.

wikiend iliyopita msanii Diamond alikatazwa  kusafiri akiwa uwanja wa taifa kwa kosa la kutokuwa na kibali.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.