Walichosema Gigy Money na Albert Msando baada ya video yao chafu kusambaa

Video inayoonyesha wakili maarufu Alberto Msando akimshika Gigy Money katika sehemu  yake ya siri imesambaa kwenye mitendao ya kijamii.

Wawili hao walikua kwa gari wakijivinjari, walikua wakikunywa pombe na kucheza huku Alberto Msando akimpasasa Gigy Money kwenye sehemu zake nyeti.

download latest music    
Screenshot ya video inayo onyesha Albert Msando akimshika Gigy Money kwenye semu yake nyeti

Alberto Msando amejitokeza na kuongelea kuhusu video hio ambayo imesambaa mitendaoni. Wakili huyo aliomba msamaha kwa alichofanya.

“Nikikaa kimya nitakua mnafiki. Nimekosea. Kilichotokea hakikupaswa kutokea. I will be a man enough and say sorry kwa wote ambao nimewakwaza na kuwaangusha. Am so sorry. But the beauty of all this is we all are human. Kuna watu ambao wamekuwa wepesi kuhukumu. Siwalaumu. Ni sawa na ni haki yao. I made a stupid mistake. I take full responsibility. Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. It could have been worse. And to all those who took time to text I appreciate. Thats friendship. #TheDon #Hennessy #TheClip” Alberto Msando aliandika kwa Instagram.

Gigy Money pia amefunguka kuhusu tukio hilo; soma alichosema kwa screenshots hizo hapo chini:

 

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere