Wanaume wa Siku Hizi Wanakula Kutokana na Jasho la Wanawake;-Gigy Money

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Gigy Money amefunguka na kuongelea tabia mbaya za wanaume wa siku hizi za kupenda kulelewa na wanawake bila kujua kwa wanawakiwa kutafuta pesa kwa ajili ya yao na familia zao.

Gigy money amba ni moja kati ya wanawake watafuraji tena hasa katika kipindi hiki anacofanya kazi kwa nguvu kwa ajili yake na mtoto wake anasema kuwa wanaume wengi wa mjini siku hizi ni vingasti wanategemea kulelewa na wanawake ili kuishi mjini.

download latest music    

watoto wa Kimue wa siku hizi ni ving’asti wanakula kutokana na jasho la wanwake,sasa hivi tuweke tu haki sawa tunawalea sana watoto wa kiume.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.