Wasafi Festival Yarudisha Mahaba kati ya Wolper na Harmonize.

Jacqueline Wolper kutoka kiwanda cha Bongo Movie ambae kwa sasa amegeukia mambo ya mitindo amekutana na aliyekuwa mpenzi wake ambae pia ni msanii kutoka lebo ya WCB Harmonize.

Harmonize na Wolper walikutana Mtwara linakofanyika tamasha la Wasafi Festival na kitu kikubwa cha kuvutia baada ya wawili hao kuonana walikumbatinia kwa furaha sana na kusalimia kwa bashasha zote.

download latest music    

Baada ya kutokaea tukio hilo watu wengi walikuwa na maswali kuwa wawili hawa wamemaliza bifu lao akajibu swali la mwandishi wa habari baada ya tukio hilo Wolper amesema kuwa “Sisi ni binadamu na dDunia tunapita sioni sababu yakuwekeana mabifu kwani mambo ya shapita”

Hata hivyo Wolper pia alisikika akisema kuwa alimuachia Sarah Harmonize kwa muda na sasa amerudihsa majeshi yake hivyo sSarah akae pembeni ilhali tetesi za awali zilisema kuwa mwanadada Sarah yuko kwao Italy kwa ajili ya kujiangalia akiwa anakaribia kujifungua.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.