Wasanii wa Arusha Hatubebwi :-Motra jnr

Msanii kutoka Arusha Motra Jnr anaejulikana sana kwa kibao chake cha sina koloni amefunguka na kumjibu msanii mwenzake Nikki Mbishi kuwa wasanii wa kutoa arusha hawabebwi kama yeye anavyosema katika mitandao ya kijamii.

Nikki Mbishi amewahi kusema kuwa katika kiwanda cha muziki wasabii wengi wamekuwa wakitokea arusha na hii yote ni kwa sababu media nyingi zimekuwa zikiwabeba sana wasanii kutoa arusha na ndio maana msanii huyu kaamua kujibu .

download latest music    

Motra anasema kuwa wasanii  wa Arusha hawabebwi kama anavyosema yeye na kuwa kama anataka Nikki  Mbishi atatengeneze system yake lakini sio kusema hivyo.

Niki maekuwa na msimamo huo kutokana na wingi wa wasanii kutoka katika mkoa wa Arusha hivyo anaamini kuwa media nyingi zimekuwa zikiwapendelea na kuwaangalia sana wasaniii kutoka mkoa  huo na kwamba wamekuwa wakipewa airtime nyingi kuliko wasanii wengune.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.