Wasanii wa Tanzania na China Kufanya Kazi Pamoja
Wasanii wa China kupitia wizara ya utamaduni na utalii imeamua kutoa fursa kwa wasanii wao wa china na pia kutoka tanzania kubadilishana ujuzi wa sanaa wa kufanya kazi pamoja na kuandaa washa ya siku mbili iliyoandaliwa na wizara hiyo.
Mkurugenzi wa kituo cha utamaduni wa china Gao Wei amesema kuwa wanategemea kupitia warsha hiyo wasanii hao watajifunza na kuzalisha kazi zao nyingi na zenye ubora sana kutokana na kujifunza mambo mablimbali y anchi hizi mbili tofauti.
Ofisa mkuu wa wizara ya habari tanzania pia amefunguka na kusema kuwa kukutana na wasaniii hawa sio tu kutaongeza kkazi za sanaa lakini pia kutaongeza thamani ya kazi za sanaa.
Bidhaa inapokuwa nzuri basi inaweza kuuzwa sehmu yoyote,kwaio tumieno warsha hiii kujifunza mambo mengi msiyoyajua kutoka kwa wenzetu wachina ili kukuza sekta ya sanaa ya mikono.