Wasanii wa WCB Wako Busy sana:-Nyashinski

Muimbaji wa muziki kutoka Kenya Nyashinski amefunguka na kutoa sababu kubwa inayokwamisha kila siku yeye kushindwa kufanya kazi   na wasanii wa WCB na kusema kuwa wasanii wengi wa wcb wako busy.

Nyashinski anasema kuwa anatamani sana kufanya kolabo na wasanii hao kwa sababu yupo karibu nao lakini tatizo kubwa ni kwamba wasanii hao wengi wanakuwa busy na kutokuwa na muda wa kukaa sehemu moja wakatulia.

download latest music    

Ningependa sana kufanya kolabo na wasanii wa Wasafi..lakini shida yao kubwa wasanii hawa wnegi wako busy.aliongea na BBC.

Nyashinski anasema kuwa wasanii wa Wasafi wanafanya kazi vizuri saba na ndio maana wanakuwa busy kutokana na kazi zao za musiki .

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.