Wasanii Walivyofunika After School Bash Dar ( +pichaz)

Lile tamasha la After School Bash ambalo ukusanya mashabiki kutoka shule mbalimbali nchini lilifanikiwa kufanyika wikied hii huko jijini Dar hyku wasanii wakiacvha historia uwanjani baada ya kuwapagawisha na kutoa burudani ya uhakika.

Wasanii walikuwa wamjiandaa vya kutosha kwa ajili ya kutoa burudani hiyo na wanafunzi walionekana kuchangamka sana kuipokea burudani hiyo :- wasanii waliokuwepo ni kama wanavyoonekana jukwaani.

download latest music    

Karen akiwa stejini akifanya yake na upande wa pili akiwa na Foby

Wanafunzi walioshinda mashindano mbalimbaliwalipewa zawadi , huku wakipewa vocha za kushonea nguoz za shule kwa mwanamitindo martin kadinda.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.