Wcb Kumtambulisha Mbosso Mwembe Yanga,Mashabiki Wafurika Uwanjani

Kundi kubwa la muziki nchi a WCB, jana siku ya jumapili walifanya hafla kubwa waliounganika na mashabiki wao kwa ajili ya kumtambulisha msanii wao mpya Maromboso ambae kipindi cha kwanza alikuwa  katika band ya ya moto iliovunjika na wasanii wake kusambaratika.

Wcb, walianza kumtambulisha msanii huyo katika Private Party iliyofanyika wikiendi iliyopita na kuhudhuriwa na wasanii wengi kumsapoti na kumkaribisha msanii huyo, hivyo jana waliamua kumuweka hadharani msanii huyo kwa mashabiki wake .

download latest music    

Wasanii mbalimbali kutoka WCB, walipanda jukwaani kwa ajili ya kutoa burudani akiwepo Diamond Platinumz, Lavalava, Harmonize na Queen Darleen.hata hivyo mashabiki wameonekana kufurahishwa na kumpokea vizuri msanii huyo kutokana na kufurika kwao katika viwanja vya Mwembe yanga jijini  Dar

.

Rayvanny akiwa jukwaani.

Harmonize na mpenzi wake Sarah nao walipanda jukwaani.

Rich mavoko nae akifanya yake.

Lavalava akitumbuiza.

Maromboso mwenyewe akifanya yake jukwaani.

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.