WCB Tayari Watua Iringa kwa Ajili ya Mashambulizi ya WASAFI FESTIVAL.

Wasanii wa kundi la wasafi na wasanii wengine kibao wakiongozwa na bosi wa Diamond Platinumz,  tayari wameshatua katika mji ya Iringa tayari kwa ajili ya muendelezo wa tamasha lao la Wasafi Festival lililofunguliwa wikiendi iliyopia mkoani Mtwara.

Tamasha hilo lenye lengo la kuwatembeza wasanii wa  lebo hiyo na wasanii wengine wengi mikoa mbalimbali kwa lengo la kukutana na mashabiki na pia kutoa burudani huku wenyewe wakiamini kuwa kufanya hivyo kutaleta mapinduzi ya burudani.

download latest music    

Wakiingia katika mji huo, wasanii kutoa WCB walipokelewa kwa shangwe na mashabiki wao na shamra shamra nyingi sana na hata kujaza mji na barabara walizokuwa wakipita.

Baadhi ya picha zikionyesha matukio ya kupokelewa kwa wasani wa kundi la WCB

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.