Wema Atoa Sababu ya Kutofika Katika ndao ya Alikiba

Inawezekana watu walikuwa wakijiuliza kwanini mwanadada Wema Sepetu hakuhudhuria katika sherehe ya harusi ya msanii mwenzake alikiba iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Hotel siku ya tarehe 29 April , siku ambayo watu mbalimbali walihudhuria wakiwepoo wakubwa kutoka serikalini.

Wema ansema kuwa kama watu wanavyojua kuwa siku zote familia huwainawekwa mbel na siku hiyo ilikuwa ni birthday ya mdogo wake na ni kwa muda hakuwahi kumfanyia sherehe hivyo alishindwa kufanya vitu vyote wa mara moja.

download latest music    

that because hiyo siku nilikuwa namfanyia msogo wangu birthday party , mdogo wangu alikuwa akitimiza miaka 20 na mwaka uliopita sikumfanyia party  na mwaka huu nilihaidi kwamba i will do the party.

so family first na Alikiba anajua kabisa kuwa nina ninamsapoti,na sina kinyongo nae na anajua hilo na ninamtakia kila la kheri katika maisha yake ya ndoa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.