Wema Sepetu Alivyosherekea Siku ya Christmass

Mwanadada Wema seetu ameonyesha mapenzi ake kwa watoto hata kuwakumbuka katika sikukuu ya krismass kwa kuwatembelea watoto wa kituo kimoja cha watoto yatima kilichopo jijini.

Wema sepetu alijikusanaya na baadhi ya mafariki na mashabiki na wanafamilia kwa ajili ya kutoa sadaka yake kwa wahitaji kama inavyoonekana:-

download latest music    

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.