Wolper Asema List Aliotoa Harmonize Ni Ndogo, Ameonewa

Mwanadada Wolper amemjibu  msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya wanaume aliwahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni ndogo sana.

Wolper anasema kuwa kuna baadhi ya watu wanaume huyo amewasahau na kwake anaona kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa nao kabla ya kwake yeye , lakini pia wolper amemjibu kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao amewaweka amewakosea kwaio kama anataka ni bora amfate mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.

download latest music    

Katika ukurasa wake wa instgram , asunui ya leo wolper aliamua kumjibu harmonize kwa kile alichomtuhumu jana kuhusu kuwa na idaid ya wanaume zaidi ya 10 katika maisha yake ya mahusiano.

Mwanaume eeh mwanaume eeh hivi ule wimbo walioimba ni TMK,  Embu tushushe mistari kidogo,  ya ile nyimbo ya wanaume eeh #listndogosanaumenionea #alafukunawengineumekosea #njoodmnikupewaukweli #basiyulewanyumanikajuanimmasaikumbemzungu.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.