Yasemekana Huyo Ndio Mritho wa Zari na Hamisa.

Katika kurasa za nstagram siku ya jana ambapo wasafi walitupia picha nyingi sana karibia katika kila ukurasa wa msanii fulani katika lebo hiyo kuna pivha zilisambaa sana mabazo zilikuwa zikimuonyesha Diamond akiwa na moja na wanawake wakali sana bongo.

Hata hivyo tetesi zinzsema kuwa wawili hao kwa sasa ni wapenzi na kwamba hiyo ndo couple mpya mjini kwa sasa.

download latest music    

Mwanadada huyo ambae ni mwanamitindo na pia ni video vixen anaejulikana kwa jina la kim nana ni moja kati  ya wasichana maarufu wasiokuwa na skendo kwa muda mrefu lakini swali ni kwamba kama anaamua kuwa na dimaond ataweza kuepeka skendo.

Hakuna aliyethibitisha hil bali ni hisia na maneno ya mashabiki na watu wa karibu na msanii huyo lakini lisemalo lipo kama halipoa basi linakuja.

Siku ya jana ilikuwa pia siku muhimu kwa msanii Mbosso kutokana na kusherekea siku yake ya kuzaliwa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.