Zari Ajibu Kashfa za Tanasha

MwanadadA Zari the Boss aliamua kuwajibu wale walikuwa wakiwalinganisha katika mitandao ya kijamii yeye pamoja na mwanamke mpya wa Diamond Platinumz Tanasha.

Wikiendi iliyopita mwanadada Tanasha pamoja na Diamond walikuwa katika usiku wa Hajis manara ambapo mwanadada huyo alivaa nguo ilikuwa imeachia sehemu kubwa ya mwili wake wazi ikiwemo pamoja na sehemu ya maziwa.

download latest music    

Kuwepo wazi kwa maziwa na mwanadada huyo kuliweza kufanya baadhi ya watu kuunganisha picha za Zari wakitaka kumlinganisha na mwanadada Tanasha huku wakisema kuwa Tanasha hana mtoto lakini maziwa yake tayari yameshalala kuliko hata Zari  huku wakiita ndala.

Hata hivyo baada ya maneno mengi katika mitandao Zari aliamua kuwajibu wanaomdiss yeye pamoja na kumlinganisha na mwanadada huyo  kwa njia ya kutosema moja kwa moja alikuwa akimlenga nani katika ukurasa wake kwa kaundika “my shoe are either too big  to fill or too small to fit ” kama ambavyo wamekuwa wakisema kuwa maziwa yaliyolala wanaita ndala.

Kila mara mwanamama huyo amekuwa attacked na mitandao tangu diamond alipoanza ku0date na tanasha lakini amekuwa kimya bila kusema kitu.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.