Zari Asema Ivan Ndie Aliyekuwa Baba Bora Kwake.

Mwana mama tajiri kutoka Uganda Zari The Bossy amefunguka na kusema kuwa kwa upande wake  anaona kuwa mwanaume wake Ivan ambae alshafariki siku nyingi ndi baba bora kwake kuliko wa baba wote Duniani .

Ivan ambae amefariki mwaka mmoja uliopita amekumbukwa na mama watoto wke huyo huku akisema kuwa pamoja na kwamba maemuachia jukumu la kulea watoto wote lakini anaona kuwa responsibilities zake zinaendelea kutekelezeka na kwamba siku zote ataendelea kumuenzi.

download latest music    

happy fathers day to me,the late don and to all women playing the both roles,we are the real MVP, Gone but still here with us in all possibloe way, we miss you.

Ukiachana na Zari kuwa na mahusiano  na Diamond lakini muda mwingiamekuwa akipost sana kumkumbuka Ivan na hata baada ya kuachana na ivan anazidi kuonyesha maumivu yake ya kupotelewa na mwanaume huyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.