Abdul Kiba atoa Sababu ya Kuendelea Kutumia Jina la SINGLE BOY

Msanii kutoka katika lebo ya KINGS records “ABDUL KIBA”,  amefungua na kusema kuwa haoni shida kama mashabiki zake bado wanamwita jina la single boy  kwa sababu ni jina lililozoeleka kwa muda mrefu  kwaio ni ngumu sana kuliacha kama wanavyofikiria.

Abdul anasema kuwa jina hilo ameanza kuitwa siku nyingi kabla hajaoa hivyo hawezi kulibadilisha kwa haraka na ukizingatia kuwa wengi wanamwita kwa sababu ndio jina wanalopendezwa nalo.

download latest music    

Maneno hayo aliongea Abdul alipokuwa akiongea na waandishi wa habari alipokuwa katika utoaji wa TUZO za SZIFF wikiendi hii .

Single nimeitwa kabla hata sijaoa, lakini pia hilo jina halina maana kwamba linaweza kuharibu kitu chochote katika maisha kwa sababu nimeoa. Lakini pia katika kuitwa siwezi kumzuai mtu kuniita wa sababu kila mtu anakkuwa anafurahishwa na vile ambavyo  yeye anafurahishwa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.