Akaunti ya Zari Yadukuliwa Mapema Leo.

Akunti ya instagram ya mwanamama Zari the Bossy leo mapema baada tu ya kuweka  birthday wishes za mtoto wake wa kike imedukuliwa na kufutwa kila kitu katika akaunti hiyo.

Mwanadada huyo ambae hivi karibuni tu aliweza kufikisha followers zaidi ya 1milion anaripotiwa kutoonekana wala kupatikana kwa sasa katika mtandao huo kutokana na wajanja hao kumfanyia mchezo huo mchafu.

download latest music    

Hata hivyo watu wake wa karibu wamethibitisha hilo huku wakisema kuwa wanafanya kila liwezekanalo hili kutatua tatizo hilo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.