Alichowahi kusema Dj Fetty Siku Tatu Kabla ya Kifo cha Godzilla

Mwanadada aliyewahi kuwa, na umaarufu sana katika  wingu la sanaa kipindi cha nyuma, Dj Fetty alifungua na kutupilia mbali lawama za mashabiki wae kutokana na mashabii wao kumtupia lawama uwa dj fettu ameshindwa kabiasa kumsaidia msanoo Godzilla kuinuka tena.

Lawama hizo zilikuja baada ya mashabiki kumuona Godzilla akifanya mahojiano na waandishi lakini hakionekana kuwa hayuko sawa ama alivyokuwa hapo awali na kusema kuwa kama Dj fetty aliweza kumuinua na kumuweka katika ramani ya muziki basi anaweza pia kumuinua tena wa sasa ambavyo ameshindwa kurudi tena huko.

download latest music    

Dj fetty alifunguka na kusema kuwa itakuwa ngumu kwae kumsaidia Godzilla kwa sababu hakumfuata na kumueleza shida yake, na itakuwa ngumu kusikia kwa watu na kumfuata mhuiska wakati  mhusika hajataka kuongelea tatizo lake.

Maneno ya Dj fetty yanakumbukwa leo ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu msanii huyo  kuaga dunia huku wengi waiamini kuwa mara nyingi mawazo na kutengwa na watu wako wa karibu hasa unaposhua katika level flani kunaweza kupelekea kuumia akili na saikolojia pia.

 

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.