Alikiba Atoa Sababu ya Mofaya Kushindwa Kuingia Sokoni

Msanii Alikiba amefunguka alipokuwa katika mahojiano na Times Fm na kusema kuwa sababu kubwa ya kushindwa kutoka kwa kinywaji chake na kuanza kuonekana sokoni ni dogo sana na siku yoyote kinaweza kuwekwa sokoni.

Alikiba anasema kuwa kila kitu kimekamilika na kwamba imani yake ni kuwa haitachukua muda mrefu kinywaji icho kitaingia sokoni.

download latest music    

OK, tumemaliza kila processs nadhani kuna delay kidogo tu  imetokea mabayo inafanya kinywaji kisionekane sokoni lakini nadhani Mwenyezi Mungu  akijai hivi karibuni watu wataanza kuiona sokoni na ninaomba waipokee.

Kinywaji  icho kilitambulishwa rasmi miezi kadhaaa iliyopita ambapo ilikuwa siku ya ndoa ya msanii huyo hivyo kuwafanya watu kusubiria na kukiulizia kwa muda mrefu kinywaji icho.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.