Loading...

Aliyekuwa meneja wa Harmonize Ayakwaa Maneno ya Mashabiki.

January 07, 2019 at 09:06
Aliyekuwa meneja wa Harmonize Ayakwaa Maneno ya Mashabiki.

Aliyewahi kuwa meneja ya msanii Harmonize amejikuta akiingia katika wakati mgumu hasa baada ya meneja huyo kusema kuwa sababu kubwa iliyomfanya aachane na msanii Harmonzie na kuacha kumuongoza ni kutokana na taba ya msanii huyo kubadilika  kutokana na pesa.

Meneja huyo anasema kuwa sababu kubwa ni kuangalia tangu ameanza kufanya kazi na kijana huyo hakuwa kama alivyo sasa hivi kwa sababu hapo awali alikuwa akijituma na kufanya kazi hata kusikilizana lakini kadri siku zinavyozidi kwenda na mafanikio kuongezeka ndivyo anavyozidi kushusha nidhamu ya kazi.

Loading...

Naelewa kuwa ni kijana mdogo ambae ametoka katika familia ya kimasiki lakini , utajiri , umaarufu na mafanikio aliyyapata yamemfanya  na kumuathiri tabia yake.

Maneno hayo yamewafanya mashabiki kumshambulia meneja huyo huku wakisema sababu kubwa ni yeye na wala sio msanii wao.

Share

Comments

  1. English language please Thanks

  2. Mbona watu wanamshambulia meneja na amepeana maoni yake tu

  3. Awachane na Harmo sio eti mkikosana na mtu umchafulie jina sasa

  4. Ukweli usemwe na ukweli ni kwamba pesa hubadilisha watu sana

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…