Anerlisa Aweka Wazi Walipokutana na Ben pol kwa Mara ya Kwanza

Mwanadada kutoka nchini Kenya ambae kwa sasa amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Ben pol amefunguka na kuweka wazi kuwa hajakutana na Ben Pol leo wala jana bali ni siku nyingi lakini wamekuwa marafiki kwa muda kabla ya kuwa wapenzi.

Wawili hao ambao wamekuwa wakisemwa sana katika mitandao ya kijamii hasa kutokana na status ya mwanadada huyo, anasema kuwa wamekutana muda mrefu kabla ya kuamua kuwa wapenzi.

download latest music    

Anaerlisa anasema ” we meet in march last year ,  when he become for a media tour in Kenya. ‘ Alisema mwanadada huyo ambae ni mfanyabiashara mkubwa nchini humo.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.