Baada ya kusubiriwa Kwa Muda,Ndoa ya Zabibu Kiba Imeiva

Baada ya ndoa za kaka zake wawili kutikisa jiji, mwanadada Zabibu Kiba nae ameibuka na kukamilisha lile walilokuwa wamekamilisja ndugu zake hapo awali la kufunga ndoa na mpezni wake wa siku nyingi Abdul Banda ambae ni mchezaji mpira wa timu ya taifa.

Picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii znaonyesha maandalizi ya kwanza ya harusi hiyo.

download latest music    

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.