Diamond , Nandy Waomba Msamaha Mashabiki.

Baada ya taarifa kusambaa katika mitandao ya kijamii kwamba wasanii diamond na nadny wameitwa tena TCRA, siku ya jana tarehe 19 , wasanii hao walipewa nafasi ya kuongea na mshabiki kuelezea kosa walilolifanya na kuomba msamaha kwa kitendo hicho.

Diamond na nady wamekiri kosa na kusema kuwa kwa sasa awameelewa makosa na sheria za kimtandao amabzo zinzpaswa kufuatwa na kusema kuwa watakuwa mabaloz wazuri kwa wengine, na kusema kuwa wamekosa na hawatarudia tena kufanya hivyo.

download latest music    

kuna vipande vya video ambavyo zimekuwa zikisambaa na zimekuwa zikinihusu na hazikuwa nzuri kwakweli.pengine labda ingekuwa zama zile za zamani tumeona ni barida tu lakini kwa sababu ya sheria tulizonazo sasa hivi  zilizotengenezwa ili kuweza kutusaidia sisi na vijana wote wa baadae ili taifa liweze kupata sifa  nzuri kiujumla.

Nandy pia anasema kuwa ameona kuwa kitendo alichokifanya ni makosa makubwa kwa umma na mashabiki wake na amejifunza kitu kutokana na makosa hayo ingawa ameendelea kusisitiza kuwa siyo yeye aliweka video hiyo katika mtandao.

nimejifunza vitu sana , kwamba sio vizuri kabisa kuchukua video ukiwa utupu na kuipeleka katika mtandao.nimejikuta nikijutia sana muda niliotumia kurekodi video hiyo.nipo tayari kushirikiana na serikali ili kutoa mafunzo na elimu juu ya maswaa haya ya sheria za mtandao.watu wengi wanafanya hivi lakini hawajulikani, naomab radhi kwa niaba ya alifanya hivi .

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.