Flaviana Matata achoshwa na comments za mitandaoni kuhusu mwili wake

Flaviana matata ni mmoja kati ya wanamitindo  waliotajwa kwenye gazeti la forbes kuwa ni mwanamitindo anaeingizaa ela nyingi Africa,Mwanamitindo huyo  maarufu wa kitanzani anaefanya kazi zake nje ya nchi na mwenye makazi yake marekani ambae pia ni mfanyabiasha wa rangi za kuchwa yenye  brand  ya Lavy  ameamua kufunguka katika ukurasa wake wa instagram na kuonyeshwa kukerwa na comments za watu wanaojifanya kumshauri kuhusu jinsi ya kuuweka mwili wake huku wengine wakionekana kukerwa na yeye kuwa mwembamba sana .

Kwa Flaviana Matata kuwa mwembamba ni moja ya vitu anatakiwa kumaintain kutokana na kazi yake ya modelling anayoifanya, ambapo urefu na kuwa mwembamba ni siafa za kuwa mwanamitindo bora ingawa zipo sifa zingine nyingi ndani yake,katika post hiyo Flavy ameonekana kukasirishwa na watu ambaowamekuwa wakiweka maoni yao kwenye picha zake  kuwa yeye ni mwembamba ivyo ajitaidi kuongeza kula.Flaviana amejibu katika ukurasa wake wa instagram kuwa anakerwa na tabia za watu kuwa wanamfatiliana na wanapaswa kufatilia mambo yao,” Honestly people need to learn to mind their business and be concerned with more important stuff. I am tired of unsolicited advice “YOU NEED TO EAT” comments….who told you I don’t eat??!!”

download latest music    

Flaviana anaongezea na kusema kuwa yeye ameridhika na mwili wake hivyo watu wasimpangie kuhusu mwili wake “am happy and proud of my and that’s all matters ” alimalizia.

Flaviana Matata amekuwa ni mmoja kati ya wanamitindo maarufu sana ndani na nje ya nchi na makampuni mengi kumtumia katika kazi za modelling  pengine labda ni kwa sabbau ya huo mwili mwembamaba ambao watu wanausema ndio unaomfanya yeye afanikiwe, pengine labda hiyo ndio lifestyle yake aliyoichagua  ya kuuweka mwili wake , anaupenda mwili wake na inawezekana pia labda  ni kwasababu anaamini ivyo ndivyo yeye alivyo.

Lakini pia Flaviana Matata alifunga ndoa mwaka jana na mtanzania mwenzie lakini wanaishi marekani hivyohivyo  pia  yeye ndie  mwanzilishi wa flaviana matata foundation.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.