Game Haina Ushindani Bila Wewe :-Maneno ya Majizo kwa Ruge

CEO wa EFM Radio na TVE Majizzo ameandika ujumbe kumhusu Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa CMG Ruge Mutahaba ambaye yupo nchini Afrika Kusini akipatiwa matibabu.

Majizzo ameandika hivi katika Instagram akaunti yake >>>“Get well soon my brother!. We miss you sana!… game haina challenge now without you…”

download latest music    

Watu mbalimbali wamekuwa wakimuombea Ruge Mutahaba apone haraka na wengi wanadai kwamba pengo lake linaonekana kwenye Tasnia ya Muziki huku Wasanii wengi wakimtaja Ruge kama chanzo cha maendeleo yao kwenye game ya Muziki

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.