Loading...

Hakuna Harmonize Bila Diamond, Yeye ni Kama Mzazi-Harmonize

April 16, 2018 at 15:25
Hakuna Harmonize Bila Diamond, Yeye ni Kama Mzazi-Harmonize

Msanii Hrmonize ambae  anaefanya vizuri na wimbo wake mpya wa Kwangaru ambao amemshirikisha bosi wake diamond, harminize amefunguka na kukanusha stori zinazokuwa zinasambaa katika mitandao kuwa yeye ndio ana mkwanja mrefu kuliko bosi wake,

Harmonize amesema kuwa hakuna kitu kama hicho kwa sababu yeye kwa diamond ni kama mtoto kwa baba kwaio maneno yanayosambaa katika mitandao hayana ukweli wowote kuhusu hali zao za kiuchumi kulinagana au yeye kumzidi bosi wake.

Loading...

‘Diamond kwa harmonize ni kama mzazi , hakuna Harmonize bila Diamond,kwaio hata iweje atabaki kuwa Diamond tu.hizo zingine ni stori tu zipo mtaani.” Alifunguka Harmonize.

Share

Comments

  1. amekutoa mbali

  2. unafaa kumshukuru aisee

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…