Harmonize adaiwa kuchepua na Mdada wa Kimasai

Msanii Harmonize anadaiwa kuchepuka na mwanadada kutok nchini  Kenya huku bado akiendelea kuwa na mahusiano na  mchumba wake wa siku nyingi mwanadada Sarah.

Katika mitandao ya kijamii kumekuwa na baadhi ya screenshot za meseji zikiwaonyesha sarah wa harmonize  na huyo mwaname mwingine ambae anaripotiwa kuwa ndio mchepuko mpya wa harmonize wakiwa  wanagombana .

download latest music    

Hata hivyo, kuna picha zimekuwa zikisambaa ambapo msanii Harmonize mwenyewe aliweka katika ukurasa wae wa snapcaht akiwa chumbani  huku akiandika Caption ya jina la mwanadada huyo.

Sarah anaonekana kujua swala hio lakini kutokana na mapenziyae kwaharmonize anashindwa kufanya maamuzi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.