Loading...

Hemed Ajisifia Ufuksa wa Wanawake

February 11, 2019 at 08:18
Hemed Ajisifia Ufuksa wa Wanawake

Msanii hemed Ph amefunguka hukuakionekana kujisifi sana na tabia yake ya kupenda sana wanawake kuliko kitu kingine.

msanii huyo ambae amekuwa akisika kwa kuwa na idadi kubwa ya wanawake , anasema kuwa katika maisha yake starehe yake kubwa ni wanawake na wals io kitu kingine.

Loading...

ukiachana natabia ya kupenda wanawake, hemed pia amekuwa akizungumzia sana katika mitandao kuwa amekuwa msanii anaeongoza sana kwa tabia ya kuzaa nje ya ndoa na kuwa na watoto wengi kitu ambacho yeye anasema kuwa haoni shida.

Hemed anasema “mimi sina starehe yoyote , sinywi pombe na wala sivuti sigara, mimi starehe yangu huwa ni mademu tu , kazi yangu ni kugonga tu”

 

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…