Huku Tanzania Ikipinga Ushoga, Mtoto wa Will Smith Atangaza Kushiriki

Mtoto wa mcheza sinema maarufu Duniani Jarden Smith ametangaza akiwa jukwaani kuhusu urafiki aliona na kijana mwezi wa kiume ambae ni rapper nchini humo.

Jarden Smith mwenye umri wa miaka 20 alionekana akiwa jukwaani akisifia sana urafiki wake na rapper Tyler the Craetor , huku akisema kuwa wamekuwa marafiki kwa muda mrefu na amekuwa rafiki yake wa kiume bora huku akionega kwa hisia kubwa kuhusu urafiki huo na hata katika sura ya Tyler alionekana kuwa mwenye tabasamu la kimahaba kuhusu sifa hizo.

download latest music    

Jarden alisema kuwa amekuwa na urafimi na mtu huyo siku nyingi na ni bado wamekuwa marafiki mpaka sasa ana amkuwa aihsudu sana urafiki wao.

Hii imetasfiriwa taoafuti kwa baadhi ya wale waliokuwepo mahali hap hasa wakiangalia ukuaribu waliokuwa nao wawili hao hata baada ya speech ya msanii huyo alieanza sanaa akiwa na umri mdogo.

Wakati Tanzania ikipinga vikali swala hilo, kuna baadhi ya nchi mahusiano ya jinsia moja yamekuwa ni jambo la kawaida na kuruhusiwa  hata na sheria za serikali.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.