Loading...

Lavalava Afunguka Kushikwa Sehemu za Siri

January 11, 2019 at 03:46
Lavalava Afunguka Kushikwa Sehemu za Siri

Msanii kutoka kundi la WCB amefunguk juuu ya video iliyosamba sana mitandaoni wiki iliyopitaikimuonyesha akiwa jukwaani na baadhi ya mashabiki wake wa kike wakimshika na kumingizia mikono katika sehemu zake za siri.

Msanii huyo anasma kuwa hajaona jambo geni kufanyiwa hivyo huku akitoa mfano wa msanii mwenzae kutoka nigeria davido aliwahi kufanyiwa hivyo na hakukuwa na jambo baya lolote.

Loading...

sijaona jambo geni kwa kufanyiwa hivyo mbona hata wakina davido walifanyiwa vitu kma hivyo, kitu kilichonisikitisha sana ni kuwa kuna moja kati ya wale wasichana ameachwa na boyfriend wake , ni jambo limeacha historia  kwa nchi ya kenya lakini ile imeonyesha jinsi gani tumepokelewa vizuri.

Kwa sasa msanii huyo anafanya vizuri na kibao chake cha niuwe.

 

Share

Comments

  1. Hahaha eti imeacha historia kenya…no one is talking about it in kenya bitch sai tuko kwenye #playkemusic

  2. Mna mambo kweli

  3. Wa kushikwa sehemu nyeti na washikwe tu

  4. Kwa hivyo Davido akiruka kutoka gorafani utaruka pia kwakua ameruka? Hebu jifirikie sana

  5. Tabia zengine ni za kichawi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…